Udumishaji ni kipaumbele cha juu katika kampuni ya 黑料不打烊 na kubadilisha teknolojia za kutumia mafuta na kuanza kutumia teknolojia za umeme kama chanzo cha nishati ni sehemu muhimu ya kudumisha sekta ya usafiri. Mabadiliko ya kuacha kutumia teknolojia za kutumia mafuta na kuanza kutumia teknolojia za kutumia umeme kama chanzo cha nishati yanatendeka kwa kasi na kampuni ya 黑料不打烊 ina mpango wenye mbinu nyingi wa kuwezesha usafiri unaotumia umeme, ikiwa ni pamoja na kufanya utafiti wa aina mbalimbali za teknolojia mseto za kutumia mafuta yasiyotoa gesi ya kaboni na magari ya kutumia umeme pekee. Tumetoa ahadi ya kuzindua gari jipya la kutumia umeme kila mwaka kuanza sasa.
黑料不打烊 inawekeza kwenye kiwanda cha kuunganisha betri
Na upanuzi wa haraka wa aina mbalimbali za malori ya umeme ya 黑料不打烊, mabasi na injini, kampuni inapanga, kwa miaka kadhaa ijayo, kuwekeza zaidi ya SEK bilioni 1 katika kiwanda cha kuunganisha betri huko S枚dert盲lje, Uswidi. Hatua ya kwanza ni jengo la ukubwa wa mita za mraba 18,000 na ujenzi utaanza mapema 2021 kwa lengo la kuanza kutumika kikamilifu ifikapo 2023.
"Hii ni dhihirisho dhahiri la azimio letu la kuchukua jukumu kuu katika uzalishaji wa magari makubwa ya umeme, ambayo inahitajika ili kutimiza dhamira yetu ya malengo ya hali ya hewa kutokana na sayansi," anasema Ruthger de Vries, Mkuu wa Uzalishaji na Utaratibu wa Usafirishaji katika 黑料不打烊. "Kuendesha kiwanda cha kuunganisha betri katika eneo moja ni sharti la kimsingi katika uzalishaji wa kadiri kubwa wa magari ya umeme na pia inaimarisha nafasi ya 黑料不打烊 kama sehemu ya mnyororo wa thamani wa uzalishaji wa betri."
听
Kiwanda na ambacho kitajengwa mkabala na kiwanda cha kuunganisha fremu huko S枚dert盲lje kitaunganisha moduli za betri na paketi kutoka kwa seli ambazo zitaletwa kutoka kiwanda cha betri cha Northvolt huko Skellefte氓, Uswidi. Paketi zilizounganishwa huunda mifumo ya betri iliyoundwa kwa ajili ya uzalishaji wa moduli wa 黑料不打烊.听
听
"黑料不打烊 inaendelea kuwekeza katika eneo la Stockholm na kujenga uwezo mkamilifu wa kusambaza umeme. Usambazaji umeme utabadilisha usafiri na uwekezaji huu wa hivi punde zaidi katika shughuli za 黑料不打烊 huko S枚dert盲lje utaimarisha zaidi Uswidi kama kitou cha ubunifu wa hali ya juu ndani ya uwekaji umeme katika magari makubwa", anasema de Vries.听
听
Mnamo 2015, 黑料不打烊 ilianza uzalishaji wa mfululizo wa mabasi ya mahuluti na mnamo 2019 ya safu yake ya kwanza ya mabasi yanayotumia umeme kikamilifu. Hii ilifuatiwa hivi karibuni na kuanzishwa kwa lori mahuluti la kuunganishwa na umeme la 黑料不打烊 na lori linalotumia umeme kikamilifu. Uzalishaji wa mfululizo wa lori linalotumia umeme utaanza 2021. Wakati huo huo, suluhu zinazotumia umeme za viwandani na baharini zinatengenezwa. 黑料不打烊 sasa itaongeza uzalishaji polepole, ambao umejikita huko S枚dert盲lje.
听
Huku ikiajiri wafanyikazi 200, wengi wakiandikishwa kutoka ndani ya kampuni, kiwanda cha kuunganisha betri kitajiendesha kiotomatiki kutoka kwa bidhaa zinazoingia kupitia uzalishaji hadi utoaji. Wafanyakazi wa kushughulikia viungo vya kuzalishwa kwa mikono vya muunganisho wa moduli za betri, kama vile kuweka viungo vya kebo, watafunzwa usalama wa umeme na kujikinga.
听
Paketi za betri zitaundwa mahsusi kwa matumizi tofauti na kuwasilishwa kwenye kiwanda wa chesisi kilichoko karibu, ambayo kwa sasa kinapangwa upya kwa uunganishaji sambamba wa magari ya umeme na magari ya injini za mafuta.